Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Kisiwa cha Nsenyi

Kisiwa cha Nsenyi ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Wakiso).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya