Method Man
Method Man
|
Method Man mnamo 2010
|
Maelezo ya awali
|
Pia anajulikana kama
|
Mef, Meth, The Panty Raider, Methtical, Tical, Ticallion Stallion, Hott Nikkels, Hot Nixon, Iron Lung, John-John Mclane, Johnny Blaze, John-John Blaizini, Johnny Dangerous, Shakwon, Ghost Rider, The MZA, Long John Silver
|
Amezaliwa
|
1 Aprili 1970 (1970-04-01) (umri 54)
|
Asili yake
|
Hempstead, New York, Marekani
|
Aina ya muziki
|
Hip hop
|
Kazi yake
|
Rapa, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo
|
Miaka ya kazi
|
1991–mpaka sasa
|
Studio
|
Def Jam
|
Ame/Wameshirikiana na
|
Wu-Tang Clan, Method Man na Redman, Redman, Streetlife, Mary J. Blige, The Notorious B.I.G. B-Real, Busta Rhymes, LL Cool J, Erick Sermon,Tupac
|
Tovuti
|
Method-Man.com
|
Clifford Smith (amezaliwa tar. 1 Aprili 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop, mtayarishaji wa rekodi, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa jina lake la kisanii kama Method Man au Meth. Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Amechukua jina lake la kisanii kutoka kwenye filamu moja hivi ya mwaka wa 1979 iliyokwenda kwa jina la The Fearless Young Boxer - pia inajulikana kama Method Man. Huyu ni mmoja kati ya nusu kundi, yaani, Method Man na Redman. Amepata kushinda Tuzo ya Grammy akiwa kama Rapa bora kwa ajili ya wimbo alioimba na Mary J. Blige wa "I'll Be There for You/You're All I Need to Get By".
Diskografia
Marejeo
Viungo vya Nje
|
---|
Studio albums | |
---|
Other albums | |
---|
Singles | |
---|
Featured artist | |
---|
Related articles | |
---|
|
---|
| Studio albamu | |
---|
Single | |
---|
Kompilesheni | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Method Man kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|
|
|