Kwa aina ya fasihi simulizi tazama makala ya Ngano (hadithi)
Ngano ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali.
Ngano ni kati ya nafaka muhimu zaidi zinazoliwa na watu pamoja na mhindi na mpunga. Ngano hutumiwa hasa kwa kuisaga kuwa unga. Unga wa ngano hutumiwa kwa mkate, chapati na pasta.
Spishi zinazopandwa sana
Picha
-
Ngano wa mkate
-
Ngano ngumu
-
Ngano punje-moja
-
Ngano punje-mbili
-
Ngano spelti
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ngano kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|