Hii ni orodha ya miji nchini Benin pamoja na idadi ya wakazi wake kufuatana na matokeo ya sensa za nchi hii za tarehe 15 Machi 1979, 15 Februari 1992, 15 Februari 2002 na 11 Mei 2013.
Marundiko makubwa zaidi ya Benin ni Cotonou, yenye wakazi zaidi ya milioni 2.4, na humo kuna pia mji mkuu Porto-Novo (mnamo 1 Januari 2006). Hii ina maana kwamba theluthi moja ya wakazi wa nchi hiyo wamejilimbikizia eneo hilo.
Jedwali lifuatalo lina miji yenye zaidi ya wakazi 20,000 na mikoa ambamo miji hiyo imo pia imeorodheshwa. Idadi ya watu wa mji husika imehesabiwa kwa maana finyu - eneo la miji kijiografia - si jiji au manispaa kwa maana ya kisiasa.
Viungo vya nje
Orodha ya miji ya Afrika |
---|
Nchi huru | |
---|
Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa | |
---|
Maeneo ya Afrika ya kujitawala chini ya nchi nyingine | |
---|
|