Uwanja wa michezo wa Lat Dior ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli mbalimbali unapatikana huko Thiès,
nchini Senegal. Uwanja huu umepewa jina kwa heshima ya Lat Jor[1].
Unastahimili takribani watu 20,000.[2]
Marejeo
↑Duvernoy, G. L. (1833). Notice Historique Sur Les Ouvrages et la vie de M. Le B.on Cuvier/par G.L. Duvernoy. Paris: Chez F.G. Levrault. uk. 541. doi:10.5962/bhl.title.39629.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Lat-Dior kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.