Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Uwanja wa michezo wa Bahawal

Uwanja wa Bahawal


Uwanja wa Bahawal ni uwanja wa mchezo Uliopo katika jimbo la Punjabu nchini Pakistani karibu na hifadhi ya wanyama ya Bahawalpur,ukiwa na uwezo wa kuchukua zaidi ya mashabiki 15,000 .[1]


Ni moja kati ya viwanja katika bara la Asia venye uwezo wa kuchukua michezo tofauti tofauti kwa wakati mmoja,michezo inayojumuisha kuogelea,Karate, Judo na michezo mingine.

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bahawal kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya