Uwanja wa michezo wa Legare ni uwanja wa michezo huko Gobabis, katika eneo la Omaheke nchini Namibia.[1] Mnamo mwaka 2020 uwanja huo umechakaa na hivyo hautumiki kama uwanja wa michezo.[2]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Legare kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|