Uwanja wa michezo wa Pillars ni uwanja wenye matumizi mengi, uwanja huu upo katika eneo la Sabon Gari Kano, Jimbo la Kano, nchini Nigeria. Mahali ulipo ni kwenye makutano ya Barabara ya Abuja na Barabara ya Uwanja wa Ndege. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu (soka) | kandanda na mechi, pia ni moja wapo ya viwanja viwili vinavyotumiwa na Kano Pillars FC, na kingine kikiwa ni Uwanja wa Sani Abacha.[1] Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000.
Mnamo mwaka 2014 ulikua ni uwanja wa muda wa timu ya El-Kanemi Warriors baada ya nyumba yao ya Maiduguri kuonekana kutokua salama kwa mechi.
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Pillars kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|