Uwanja wa Sir Seretse Khama Barracks maarufu kama Uwanja wa SSKB, ni uwanja wa matumizi mengi huko Mogoditshane, Kweneng,nchini Botswana . Unatumika zaidi kwa ajili ya mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa Kikosi cha Ulinzi cha Botswana XI. Uwanja huo una uwezo wakuchukua watu 5,000. Uwanja unamilikiwa na Kikosi cha Ulinzi cha Botswana [BDF]. Uwanja unazungukwa na sehemu ya michezo riadha.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa SSKB kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.