Baadaye aliongozwa na Mungu kuongozana na towashi muhimu wa Ethiopia akambatiza karibu na Gaza (Mdo 8).
Baadaye tena alikuwa akiishi Kaisarea Maritima, pamoja na mabinti wake wanne ambao walikuwa mabikira na manabii, Mtume Paulo alipopitia huko mwaka 58 akielekea Yerusalemu (Mdo 21)[3].
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Filipo mwinjilisti kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.