Mto Luega ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa magharibi).
Unatiririka hadi ziwa Tanganyika. Maji yake yanaendelea baadaye hata bahari ya Atlantiki kupitia mto Kongo.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Luega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |