Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Umoja wa Ulaya

Umoja wa Ulaya
Kibulgaria: Европейски съюз
Kicheki: Evropská unie
Kidenmark: Den Europæiske Union
Kieire: An tAontas Eorpach
Kiestonia: Euroopa Liit
Kifaransa: Union européenne
Kifini: Euroopan unioni
Kigiriki: Ευρωπαϊκή Ένωση
Kihispania: Unión Europea
Kiholanzi: Europese Unie
Kihungaria: Európai Unió
Kiingereza: European Union
Kiitalia: Unione Europea
Kijerumani: Europäische Union
Kikroatia: Europska unija
Kilatvia: Eiropas Savienība
Kilituanya: Europos Sąjunga
Kimalta: Unjoni Ewropea
Kipoland: Unia Europejska
Kireno: União Europeia
Kiromania: Uniunea Europeană
Kislovakia: Európska únia
Kislovenia: Evropska Unija
Kiswidi: Europeiska unionen
www.europa.eu

Umoja wa Ulaya (kifupisho: EU) ni muungano wa kisiasa na wa kiuchumi wa nchi 27 za Ulaya, baada ya Ufalme wa Muungano kujitoa tarehe 31 Januari 2020, tukio la kwanza la namna hiyo.

Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.

Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.

Nchi 19 za Umoja huo hutumia pesa moja ya Euro.

Nchi nyingi za Umoja zimepatana kufungua mipaka yao bila vizuizi kwa wakazi wote.

European Commission (Brussels)

Historia

Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya ilibadilisha jina lake mwaka 1992 kufuatana na mikataba ya Maastricht kuwa Umoja wa Ulaya.

Nchi wanachama zilipatana kujenga siasa ya pamoja ya kiuchumi, kifedha, kisheria na katika mambo ya nje.

Mapatano ya Schengen ilifungua mipaka ili wakazi wa nchi hizo waweze kusafiri bila pasipoti wala vibali.

Nchi 10 tena zilijiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 2004. Mbili zaidi ziliingia 2007 na Kroatia mwaka 2013.

Wakazi

Jumla ya wakazi ni milioni 447 (mwanzoni mwa 2020), sawa na 5.8% za watu wote duniani. Kuna miji 15 yenye watu zaidi ya milioni moja kila mmojawapo, kuanzia Paris ambayo inazidi milioni 10.

Upande wa lugha, lugha rasmi ni 24, lakini lugha inayotumika zaidi ni Kiingereza, kinachoweza kuzungumzwa na 51% za wakazi wote, ingawa ni lugha ya kwanza ya 1% tu. Lugha nyingine ambazo ni za kwanza kwa wananchi wengi ni: Kijerumani (18%), Kifaransa (13%) na Kiitalia (12%). Pia kuna lugha 150 hivi za kieneo.

Upande wa dini, wakazi wengi ni Wakristo (71.6%), hasa Wakatoliki (45.3%), Waprotestanti 11.1% na Waorthodoksi 9.6%. Waislamu ni 1.8%. Wafuasi wa dini nyingine ni 2.6%. Wengine 24% hawana dini au ni Wakanamungu.

Uhuru wa kuhama

Kila mtu mwenye uraia wa nchi ya Umoja anaruhusiwa kuhamia nchi yoyote nyingine na kufanya kazi au biashara huko bila vibali vya pekee.

Vilevile bidhaa zote zinazotengenezwa kote katika Umoja wa Ulaya zinaweza kuuzwa katika kila nchi. Hii ni sababu ya kuwa na sheria za pamoja zinazotawala masharti ya bidhaa na uzalishaji.

Vyombo vya Umoja

Halmashauri ya Ulaya

Halmashauri hii ni mkutano wa viongozi wa serikali za nchi wanachama. Wanakutana mara mbili kwa mwaka na kutoa maazimo muhimu.

Nafasi ya uraisi hubadilika kila baada ya miezi 6. Ufini ilishika uraisi kati ya Julai 2006 hadi Desemba 2006, ikafuatiliwa na Ujerumani tangu Januari hadi Juni 2007.

Baraza za mawaziri

Katika baraza hizi mawaziri ya Kilimo, Sheria, Mambo ya Nje hukutana na kupanga siasa ya pamoja.

Kamati ya Ulaya

Hii ni kamati ya utawala inayotekeleza maazimio ya Halmashauri na bunge. Kuna makamishna 24 na mwenyekiti. Inaelekea kuwa serikali lakini haina madaraka ya serikali bado.

Bunge la Ulaya

Bunge la Umojwa wa Ulaya huko Brussels.
Picha ya pamoja wakati wa kusaini mkataba wa Lisboa tarehe 13 Desemba 2007.

Bunge la Ulaya lina wabunge 751 wanaochaguliwa na wananchi kila baada ya miaka mitano.

Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya

CroatiaFinlandSwedenEstoniaLatviaLithuaniaPolandSlovakiaHungaryRomaniaBulgariaGreeceCyprusCzech RepublicAustriaSloveniaItalyMaltaPortugalSpainFranceGermanyLuxembourgBelgiumNetherlandsDenmarkIreland
Map showing the member states of the European Union (clickable)

Wanachama tangu 1958 (waanzilishi)

Wanachama tangu 1973

Mwanachama tangu 1981

Wanachama tangu 1986

Wanachama tangu 1995

Wanachama tangu 2004

Wanachama tangu 2007

Wanachama tangu 2013

Nchi zinazoomba uanachama

Jeshi la Uropa/Ulaya

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/2/2c/EU_PESCO_map.svg

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Tovuti rasmi:

Mandhari na data:

Taarifa:

Misaada ya kufundishia:

  • European Studies Hub – interactive learning tools and resources to help students and researchers better understand and engage with the European Union and its politics.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Umoja wa Ulaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read other articles:

Dracaena Dracaena draco (en) TaksonomiDivisiTracheophytaSubdivisiSpermatophytesKladAngiospermaeKladmonocotsOrdoAsparagalesFamiliAsparagaceaeSubfamiliNolinoideaeGenusDracaena Linnaeus, 1767 Tipe taksonomiDracaena draco Tata namaSinonim taksonPleomele (en) SansevieriaTerminalis (en) Chrysodracon (en) Acyntha (en) Draco (en) Sanseverinia (en) Ex taxon author (en) Vand. lbs Dracaena adalah genus tumbuh-tumbuhan yang terdiri lebih dari 120 spesies tanaman.[1] Tumbuhan ini banyak macamnya, ...

 

 

Masaki Okino Informasi pribadiNama lengkap Masaki OkinoTanggal lahir 13 Desember 1996 (umur 26)Tempat lahir Prefektur Nagasaki, JepangPosisi bermain GelandangKarier senior*Tahun Tim Tampil (Gol)2015– Cerezo Osaka * Penampilan dan gol di klub senior hanya dihitung dari liga domestik Masaki Okino (lahir 13 Desember 1996) adalah pemain sepak bola asal Jepang. Karier Masaki Okino pernah bermain untuk Cerezo Osaka. Pranala luar (Jepang) Profil dan statistik di situs web resmi J. League Data...

 

 

Cet article est une ébauche concernant la cuisine et l’Amérique du Nord. Vous pouvez partager vos connaissances en l’améliorant (comment ?) selon les recommandations des projets correspondants. Frybread Autre(s) nom(s) Fried bread Lieu d’origine Amérique du Nord Créateur Autochtones d'Amérique Place dans le service Plat principal Dessert Ingrédients Farine de blé Sel Levure chimique Huile modifier  Un Indian taco. Un frybread ou fried bread (littéralement « pain...

Pour les articles homonymes, voir Javanais, Javanais (argot) et Javanais (chat). Cet article est une ébauche concernant l’ethnologie. Vous pouvez partager vos connaissances en l’améliorant (comment ?) selon les recommandations des projets correspondants. Maison javanaise dans la région de Salatiga On appelle Javanais la population dont la langue est le javanais, une langue de la branche malayo-polynésienne des langues austronésiennes. Les Javanais forment un groupe comptant prè...

 

 

WooCommerce Desenvolvedor Mike Jolley, James Koster Plataforma Multiplataforma Modelo do desenvolvimento Software livre Lançamento 27 de setembro de 2011 (12 anos) Versão estável 6.6.1[1] Idioma(s) Vários, incluindo inglês e português Escrito em PHP Sistema operativo Multiplataforma Gênero(s) Comércio eletrônico Licença GPL versão 2 Estado do desenvolvimento Ativo Página oficial woocommerce.com WooCommerce é um plugin open source de e-commerce para WordPress. Ele é projetado par...

 

 

Baltic German academic, Estophile This article needs additional citations for verification. Please help improve this article by adding citations to reliable sources. Unsourced material may be challenged and removed.Find sources: Georg Julius von Schultz – news · newspapers · books · scholar · JSTOR (February 2022) (Learn how and when to remove this template message) Georg Julius von Schultz Georg Julius von Schultz (October 4, 1808 – May 16, 1875; Ol...

إيه في إنAdult Video Network (بالإنجليزية)[1] الشعارمعلومات عامةبلد المنشأ الولايات المتحدة[1] التأسيس 1983 موقع الويب avn.com (الإنجليزية) التحريراللغة الإنجليزية[1] المواضيع إباحية الإدارةالمقر الرئيسي Fresno California Temple (en) ISSN 0883-7090 تعديل - تعديل مصدري - تعديل ويكي بيانات إيه في إ...

 

 

National park of the Pindus Mountains in Greece Pindus National Park (Valia Calda)Dirt road near Flegga peakPindus National ParkLocationWest Macedonia and Epirus, GreeceNearest cityIoanninaCoordinates39°54′N 21°07′E / 39.900°N 21.117°E / 39.900; 21.117Area6,927 hectares (17,120 acres)Established1966Governing bodyNational Forest Department (Greek Ministry of Agriculture) Pindus National Park (Greek: Εθνικός Δρυμός Πίνδου Ethnikós Drym

 

 

Finnish wrestler Eino LeinoPersonal informationBorn(1891-04-07)7 April 1891Kuopio, Grand Duchy of Finland, Russian EmpireDied30 November 1986(1986-11-30) (aged 95)Tampere, FinlandHeight174 cm (5 ft 9 in)Weight66–76 kg (146–168 lb)SportSportFreestyle wrestlingClubNYAC, New York Medal record Men's freestyle wrestling Representing  Finland Olympic Games 1920 Antwerp Middleweight 1924 Paris Welterweight 1928 Amsterdam Lightweight 1932 Los Angeles Welterweigh...

1928 film Gustaf WasaDirected byJohn W. BruniusWritten byIvar JohanssonStarringGösta Ekman Edvin Adolphson John EricssonCinematographyHugo EdlundProductioncompanyWasa FilmRelease dates5 March 1928 (part 1) 12 March 1928 (part 2)Running time103 minutes (part 1) 111 minutes (part 2)CountrySwedenLanguagesSilentSwedish intertitles Gustaf Wasa is a 1928 Swedish silent historical epic film directed by John W. Brunius and starring Gösta Ekman, Edvin Adolphson and John Ericsson.[1][2 ...

 

 

علم الأخلاق[1] أو الأخلاق الواجبة أو أخلاق الواجب (بالإنجليزية: Deontological ethics)‏ (من المصطلح اليوناني deon، بمعنى «التزام وواجب» والمصطلح-logy|-logia بمعنى علم) هي الأخلاق المعيارية التي تحكم على مدى أخلاقيات أي سلوك على أساس مدى ملاءمة هذا السلوك للقواعد أو المعايير.[2] في بعض...

 

 

Ability to perceive, infer, retain or apply information For the human faculty of thinking and understanding, see Intellect. For human intelligence, see Human intelligence. For other uses, see Intelligence (disambiguation). Part of a series onPsychology Outline History Subfields Basic psychology Abnormal Affective neuroscience Affective science Behavioral genetics Behavioral neuroscience Behaviorism Cognitive/Cognitivism Cognitive neuroscience Social Comparative Cross-cultural Cultural Develop...

Philippine food and beverage company RFM CorporationFormerlyRepublic Flour Mills, Inc.TypePublicTraded asPSE: RFMIndustryFood processing, beveragesFoundedAugust 16, 1957; 66 years ago (1957-08-16)FounderSalvador Z. AranetaJosé N. Concepcion, SrB.J. ServerAlbino Z. SyCipZoilo AlbertoFrancisco D. GamboaEdward Miller GrimmLeonardo EugenioDavid SyCipCharles ParsonsHeadquartersRFM Corporate Center, Pioneer Street, Mandaluyong, PhilippinesKey peopleJosé S. Concepcion, Jr. (...

 

 

2004 studio album by Jill SobuleUnderdog VictoriousStudio album by Jill SobuleReleasedSeptember 7, 2004Length42:04LabelArtemisProducerRobin Eaton, Brad Jones, Roger MoutenotJill Sobule chronology The Folk Years 2003–2003(2004) Underdog Victorious(2004) California Years(2009) Professional ratingsReview scoresSourceRatingAllmusic linkNo Depression(favorable) linkRobert Christgau link Underdog Victorious is the sixth studio album by American singer-songwriter Jill Sobule, released in 2...

 

 

Propuesta de invasión soviética de Hokkaidō durante la Segunda Guerra Mundial Guerra soviético-japonesa y Guerra del Pacífico en el marco de la Segunda Guerra MundialParte de Guerra soviético-japonesa y Campaña de Japón Plan de invasión propuesto para la invasión soviética de Hokkaidō en 1945 durante la Segunda Guerra Mundial. La Unión Soviética planeaba aterrizar en Rumoi y ocupar la isla al norte de una línea entre Rumoi y Kushiro.Fecha 24 de agosto de 1945Lugar HokkaidōResu...

Not to be confused with The Mechanic (disambiguation). This article does not cite any sources. Please help improve this article by adding citations to reliable sources. Unsourced material may be challenged and removed.Find sources: The Mechanik – news · newspapers · books · scholar · JSTOR (June 2019) (Learn how and when to remove this template message) 2005 German filmThe MechanikOfficial DVD coverDirected byDolph LundgrenWritten byDolph LundgrenBryan...

 

 

Municipality in Southeast, BrazilItambacuriMunicipality Coat of armsLocation in Minas Gerais stateItambacuriLocation in BrazilCoordinates: 18°01′S 41°42′W / 18.017°S 41.700°W / -18.017; -41.700CountryBrazilRegionSoutheastStateMinas GeraisMesoregionVale do Rio DoceMicroregionGovernador ValadaresPopulation (2020[1]) • Total23,209Time zoneUTC−3 (BRT) Itambacuri is a Brazilian municipality located in the state of Minas Gerais.[2&#...

 

 

Conquête musulmane de la Transoxiane Carte de la Transoxiane et du Khorassan au VIIIe siècle Informations générales Date 673 – 751 Lieu Transoxiane, Asie centrale Issue Victoire du Califat abbasside Islamisation de la Transoxiane Propagation de l'Islam au sein des peuples turcs Belligérants Califat omeyyade (jusqu'en 748) Califat abbasside(à partir de 748)Soutiens : Empire du TibetKhanat Türgesh (jusqu'en 717) Principautés du TokharistanPrincipautés de la SogdianeKhwarezm...

Spanish football team and the reserve team of Real Madrid CF Football clubReal Madrid CastillaFull nameReal Madrid Castilla Club de FútbolNickname(s)Castilla RM BFounded16 December 1930 (as Agrupación Deportiva Plus Ultra)GroundAlfredo Di Stéfano, Madrid, SpainCapacity6,000PresidentNicolás Martín-Sanz[1]Head coachRaúlLeaguePrimera Federación – Group 22022–23Primera División RFEF Group 1, 3rd of 20 Home colours Away colours Third colours Active departments of Real Madrid Fo...

 

 

Austrian writer (born 1943) This biography of a living person needs additional citations for verification. Please help by adding reliable sources. Contentious material about living persons that is unsourced or poorly sourced must be removed immediately from the article and its talk page, especially if potentially libelous.Find sources: Bodo Hell – news · newspapers · books · scholar · JSTOR (September 2011) (Learn how and when to remove this template m...

 

 

Kembali kehalaman sebelumnya