Makala hii inahusu mwaka 2007 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 4 Januari - Juma Jamaldin Akukweti, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Januari - Alice Lakwena wa Uganda
- 7 Februari - Alan MacDiarmid, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 27 Machi - Paul Lauterbur, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003
- 23 Aprili - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 8 Mei - Abdullah_bin_Faisal_Al_Saud, mwana wa Mfalme wa Saudia
- 18 Mei - Pierre de Gennes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1991)
- 30 Mei - William Meredith, mshairi kutoka Marekani
- 9 Juni - Achieng Oneko, mwanasiasa wa Kenya
- 26 Juni - Amina Chifupa, mwanasiasa wa Tanzania
- 23 Julai - Ernst Otto Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 30 Julai - Ingmar Bergman, mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
- 16 Agosti - Max Roach, mwanamuziki kutoka Marekani
- 8 Septemba - Shenazi Salum, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 18 Oktoba - Lucky Dube, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 24 Oktoba - Salome Joseph Mbatia, mwanasiasa wa kike kutoka Tanzania
- 3 Novemba - Suzanne Bachelard, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 10 Novemba - Norman Mailer, mwandishi kutoka Marekani
- 1 Desemba - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
- 16 Desemba - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania
- 23 Desemba - Oscar Peterson, mwanamuziki kutoka Kanada
- 27 Desemba - Benazir Bhutto, mwanasiasa kutoka Pakistan aliuawa
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: