Uwanja wa michezo wa Kambarage ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania, hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Kahama United,uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 30,000[1]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kambarage kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|