Makala hii inahusu mwaka 1920 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 9 Januari - Clive Dunn, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 20 Januari - Federico Fellini, Mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 12 Februari - Pran, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
- 29 Februari - Howard Nemerov, mshairi kutoka Marekani
- 11 Machi - Nicolaas Bloembergen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 15 Machi - Donnall Thomas, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1990
- 1 Aprili - Toshiro Mifune, mwigizaji wa filamu kutoka Japani
- 6 Aprili - Edmond Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
- 18 Mei - Mtakatifu Papa Yohane Paulo II, wa kwanza kutoka Polandi
- 17 Juni - Francois Jacob, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 20 Juni - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 10 Julai - Owen Chamberlain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 11 Julai - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Agosti - Harrison Yesaya Mwakiswalele, mwasisi wa Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA)
- 29 Agosti - Charlie Parker, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Septemba - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978
- 29 Oktoba - Baruj Benacerraf, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 31 Oktoba - Dedan Kimathi, kiongozi wa Mau Mau nchini Kenya
- 13 Novemba - Jack Elam, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 6 Desemba - Dave Brubeck, mwanamuziki wa Marekani
- 6 Desemba - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
bila tarehe
Waliofariki
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: