Mto Mswiswi ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya ambayo maji yake yanaishia bahari ya Hindi kupitia Ruaha Mkuu na mto Rufiji.
Tazama pia
Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mswiswi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |