Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Mto Yovi

Mto Yovi ni mto wa Tanzania Kusini Magharibi ambao ni tawimto la Ruaha Mkuu ambao unapitia Iringa na tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Kembali kehalaman sebelumnya