1946
Makala hii inahusu mwaka 1946 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 5 Januari - Diane Keaton
- 14 Januari - Harold Shipman, daktari na muuaji mfululizo kutoka Uingereza
- 19 Januari - Dolly Parton
- 2 Februari - Blake Clark, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Februari - Ahmed Zewail, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1999
- 15 Machi - Hezekiah Ndahani Chibulunje, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Machi - Georges Köhler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
- 7 Aprili - Stan Winston, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Aprili - Carl XVI Gustaf, mfalme wa Uswidi
- 16 Mei - Joatham Mporogoma Mwijage Kamala, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 13 Juni - Paul Modrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 14 Juni - Donald Trump, mfanyabiashara na Rais wa Marekani
- 26 Juni - Anthony John Valentine Obinna, askofu Mkatoliki kutoka Nigeria
- 2 Julai - Richard Axel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2004
- 6 Julai - George W. Bush, Rais wa Marekani (2001-2009)
- 3 Agosti - Felix Christopher Mrema, mwanasiasa wa Tanzania
- 19 Agosti - Bill Clinton, Rais wa Marekani (1993-2001)
- 8 Septemba - Aziz Sancar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 22 Septemba - John Woo, mwongozaji filamu kutoka China
- 22 Septemba - King Sunny Adé, mwanamuziki wa Nigeria
- 17 Oktoba - Graca Machel, mke wa marehemu Samora Machel, na baadaye mke wa Nelson Mandela
- 20 Oktoba - Elfriede Jelinek, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2004
- 28 Oktoba - Anthony Banzi, askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga, Tanzania
- 2 Novemba - Marieta Severo, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 4 Novemba - Laura Bush, mke wa Rais George W. Bush, na Mwanamke wa Kwanza wa Marekani (2001-09)
- 3 Desemba - Raphael Benedict Mwalyosi, mwanasiasa wa Tanzania
- 18 Desemba - Steve Biko, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 18 Desemba - Steven Spielberg, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Desemba - Patti Smith, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|