1968
Makala hii inahusu mwaka 200 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 18 Februari - Molly Ringwald
- 4 Machi - Patsy Kensit
- 6 Machi - Moira Kelly
- 30 Machi - Celine Dion
- 19 Aprili - Mswati III, mfalme wa Uswazi
- 7 Mei - Traci Lords
- 14 Mei - Ranko Matasović, mtaalamu wa isimu kutoka Kroatia
- 28 Mei - Kylie Minogue, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
- 1 Juni - Jason Donovan
- 7 Juni - Carla Marins, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 5 Julai - George Boniface Simbachawene, mwanasiasa wa Tanzania
- 7 Julai - Danny Jacobs, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 20 Julai - Kool G Rap, mwanamuziki kutoka Marekani
- 21 Julai - Brandi Chastain
- 26 Julai - Vítor Pereira, mchezaji na kocha wa mpira kutoka Ureno
- 5 Agosti - Marine Le Pen, mwanasiasa wa Ufaransa
- 9 Agosti - Gillian Anderson
- 16 Agosti - James Patrick Stuart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Septemba - Will Smith, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Oktoba - Fresh Jumbe, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 15 Novemba - Ol' Dirty Bastard, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Novemba - Gregory Pardlo, mshairi kutoka Marekani
- 2 Desemba - Lucy Liu, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 3 Desemba - Montell Jordan, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Desemba - Casper Van Dien, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 31 Desemba - Junot Díaz, mwandishi kutoka Marekani
bila tarehe
Waliofariki
- 11 Februari - Howard Lindsay, mwandishi kutoka Marekani
- 21 Februari - Howard Walter Florey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945
- 23 Machi - Edwin O'Connor, mwandishi kutoka Marekani
- 27 Machi - Yuri Gagarin, rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga-nje
- 1 Aprili - Lev Landau, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962
- 4 Aprili - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani, aliuawa kwa kupigwa risasi na adui wa imani yake.
- 16 Aprili - Edna Ferber, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Mei - George Dillon, mshairi kutoka Marekani
- 1 Juni - Helen Keller, mwandishi asiyeona wala kusikia kutoka nchini Marekani
- 1 Juni - Charles Howard McIlwain, mwanahistoria kutoka Marekani
- 14 Juni - Salvatore Quasimodo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959
- 7 Julai - Leo Sowerby, mtungaji muziki Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1946
- 18 Julai - Corneille Heymans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1938
- 23 Julai - Henry Dale, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936
- 28 Julai - Otto Hahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944
- 23 Septemba - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina, padri na mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 20 Oktoba - Archibald Jordan, mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini
- 30 Oktoba – Conrad Michael Richter, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1951
- 25 Novemba - Upton Sinclair, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Desemba - Casper Van Dien, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Desemba - John Steinbeck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1962
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|