1966
Makala hii inahusu mwaka 1966 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 8 Januari - Gianfranco Chiarini, mpishi wa Italia
- 10 Januari - Hawa Ghasia, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Huduma za Umma (2005-2010)
- 6 Februari - Rick Astley
- 20 Februari - Dennis Mitchell, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 27 Februari - Japhet N'Doram, mchezaji mpira wa Chad
- 21 Machi - DJ Premier, mwanamuziki kutoka Marekani
- 8 Aprili - Robin Wright
- 15 Aprili - Samantha Fox
- 26 Aprili - Natasha Trethewey, mshairi kutoka Marekani
- 16 Mei - Janet Jackson
- 23 Mei - H. Jon Benjamin, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Juni - Adam Kighoma Malima, mbunge wa Tanzania
- 30 Juni - Mike Tyson, mpiga ngumi kutoka Marekani
- 11 Julai - Cheb Mami, mwanamuziki kutoka Algeria
- 17 Julai - Guru, mwanamuziki kutoka Marekani
- 22 Julai - Erick Keter, mwanariadha kutoka Kenya
- 26 Julai - Anna Rita Del Piano, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 7 Agosti - Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia
- 22 Agosti - Paul Ereng, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya
- 22 Agosti - GZA, mwanamuziki kutoka Marekani
- 9 Septemba - Adam Sandler, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 11 Oktoba - Luke Perry (f. 2019)
- 28 Oktoba - Andy Richter, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 7 Desemba - Lucía Etxebarria, mwandishi na mshairi kutoka Hispania
- 21 Desemba - Kiefer Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 23 Desemba - Hussein Ali Mwinyi, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
- 15 Januari - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria
- 10 Machi - Frits Zernike, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1953
- 3 Aprili - Russel Crouse, mwandishi kutoka Marekani
- 4 Juni - Chang Myon, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
- 5 Julai - Georg von Hevesy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943
- 2 Novemba - Peter Debye, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1936
- 26 Novemba - Gallus Steiger, askofu wa Peramiho, Tanzania, kutoka Uswisi
- 14 Desemba - Verna Felton, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Desemba - Walt Disney, mwongozaji filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|