Mwaka 1928 alikuwa Abate (mwanzoni wa Lindi na mwaka 1931 Abate wa Peramiho) na aliwekwa wakfu kuwa askofu mwaka 1934 huko Einsiedeln.
Alistaafu mwaka 1953 akaendelea na umisionari hadi kufariki kwake huko Peramiho. Alizikwa kwenye kanisa kuu la Peramiho.
Marejeo
Pugu Hadi Peramiho - kimehaririwa na P. Gerold Rupper, OSB, BPNP, Peramiho 1988, ISBN 9967 67 031 1
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.